Back to home
Mauaji ya maafisa wawili wa akiba yatatiza shughuli barabara kuu ya Lodwar - Trans Nzoia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 23, 2025
1d ago
Shughuli za kawaida zilitatizika kwenye barabara kuu ya Lodwar - Trans Nzoia kufuatia mauaji ya maafisa wawili wa akiba waliouawa jana kwenye makabiliano kati yao na maafisa wa jeshi.



