Back to home

Baadhi ya shule zaathirika baada ya ziwa Turkana kufurika

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
2d ago
Ni afueni kwa wanafunzi wa Shule ya msingi ya Kalokol fuoni mwa ziwa Turkana waliokukuwa wamesongamana kwenye madarasa baada ya madarasa yao kujaa maji baada ya wakfu wa Kenya Pipeline kuwajengea madarasa mapya matatu. Madarasa hayo sasa yatatumiwa kufanyia mitihani wa kitaifa.On