Back to home

Jinsi shirika la reli nchini (KRC) linaendelea kuboresha muunganisho wa reli nchini

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 25, 2025
11h ago
Mwezi mmoja tangu Rais Ruto kuzindua gari la moshi la kuwasafirisha abiria kutoka kituo cha SGR eneo la Miritini kuelekea katikati mwa jiji la Mombasa, treni hiyo imeendelea kuwa sehemu muhimu ya usafiri wa wakazi na hata wageni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Ke