Back to home

Wakazi wapinga ada mpya za maji jijini Eldoret

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 27, 2025
1w ago
Baadhi ya Wakazi wa jiji la Eldoret wameelekea katika mahakama ya upeo kupinga uamuzi wa mahakama ya juu wa kuipa kampuni ya kusambaza maji jijini eldoret ELDOWAS, kuongeza ada za maji kwa asilimia 300 .