Back to home
Wakazi wafunzwa njia za kuboresha mazingira kijijini Raap kaunti ya Isiolo
video
C
Citizen TV (Youtube)October 23, 2025
22h ago
Wakazi wa kijiji cha Raap, wadi ya Oldonyiro kaunti ya Isiolo wameanza shughuli za kuboresha mazingira yaliyoharibiwa na mmomonyoko wa udongo .





