Back to home
Rais azindua miradi ya maendeleo kaunti ya Nakuru
video
C
Citizen TV (Youtube)October 27, 2025
12h ago
Rais william Ruto ameanza ziara ya siku tatu katika kaunti ya Nakuru. Rais anatarajiwa kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo akianza na hifadhi ya msitu wa Mau eneo la Gararage.




![| UKUMBI | Sheria Ya Kudhibiti Mtandao [Part 4]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/-UKUMBI-Sheria-Ya_1761559892-16x9.jpg)