Back to home
Rais William Ruto aanza rasmi ziara yake ya wiki moja katika kaunti ya Nakuru
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 27, 2025
6h ago
Rais William Ruto ameanza rasmi ziara yake ya wiki moja katika kaunti ya Nakuru hii leo, anapotarajiwa kuzindua miradi tofauti ya maendeleo ukiwemo mpango wa kurejesha hekari 33,000 za msitu wa Mau.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as




