Back to home
Reynold Cheruiyot asema Kenya itatea taji la mbio za kupokezana kijiti katika mashindano ya dunia
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 27, 2025
5h ago
Mshindi wa nishani ya shaba duniani katika mbio za mita elfu 1500 Reynold Cheruiyot ana imani ya Kenya kutetea taji lake la mbio za kupokezana kijiti, wakati wa mashindano ya dunia ya mbio za Nyika zitakazoandaliwa Januari tarehe 10, mjini Tallahassee Florida, Marekani.
Subscri




