Back to home

Wizara ya afya iko mbioni kuvumbua mbinu za kiteknolojia ili kuimarisha huduma za matibabu

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 27, 2025
5h ago
Kama mbinu mojawapo ya kuimarisha huduma za matibabu nchini, wizara ya afya sasa iko mbioni kuvumbua mbinu za kiteknolojia katika kuhakikisha huduma hiyo muhimu ni bora. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Keny