Back to home

Rais William Ruto aanza siku kwa mkutano na baadhi ya viongozi na wakazi Nakuru

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
17h ago
Rais William Ruto anaendelea na ziara yake ya ufunguzi wa miradi ya maendeleo katika kaunti ya Nakuru kwa siku ya pili leo. Rais ameanza siku kwa kukutana na baadhi ya viongozi na wakazi wa kaunti hiyo kwenye mkutano wa faragha katika ikulu ndogo ya Nakuru