Back to home

Jamii ya Wasomali yahubiri utangamano wa jamii zote Taita Taveta

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
1w ago
Jamii ya Wasomali katika kaunti ya Taita Taveta imesema itaungana na jamii zingine ili kuangazia matatizo yanayokumba vijana hasa suala la ukosefu wa ajira na kudorora kwa viwango vya elimu.