Back to home

Msaidizi wa Rais aongoza zoezi la kusafisha ng'ombe kwa dawa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
10h ago
Ni afueni kwa wafugaji huko Khuvasali eneo bunge la Malava baada ya msaidizi wa Rais Farouk Kibet kuandaa zoezi la kusafisha Ng'ombe iki kuakinga na maradhi mbalimbali bila malipo.