Back to home

Mvua yachelewesha uokoaji wa miili ya watu 11 waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
15h ago
Shughuli ya kuondoa miili ya watu 11 walioangamia kwenye ajali ya ndege iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Tsimba Golini, kaunti ya kwale ingali kuanza huku mvua kubwa inayonyesha ikitatiza shughuli hiyo. Ndege hiyo iliyokuwa imewabeba watalii kumi kutoka hungary na ujerumani

More on this topic

Plane Crash in Kwale County Kills 11 People - October 2025

A plane crash occurred in Tsimba Golini, Kwale County, resulting in the deaths of 11 individuals. The tragic incident happened early in the morning and has been described as a significant loss of life for the region. Rescue efforts to recover the bodies of the 11 people who lost their lives were delayed due to heavy rainfall in the area. The crash occurred in the Tsimba area of Kwale.

3 stories in this topic
View Full Coverage