Back to home
Serikali yatathmini hali ya usalama wa KPSEA na KJSEA
video
C
Citizen TV (Youtube)October 29, 2025
1w ago
Katibu wa Wizara ya usalama Dkt. Raymond Omollo ameeleza kuwa usalama ya mitihani ya kitaifa inayoendelea umedhibitiwa ambapo kufikia sasa hakuna visa vya utovu wa usalama vimeripotiwa kote nchini.





