Back to home

Msafara wa jipange na viusasa unazuru Limuru na kukamilisha ziara ya leo mjini Kiambu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 29, 2025
21h ago
Msafara wa Jipange na Viusasa umeingia eneo la Kati, leo msafara ukitarajiwa kufika Limuru na kumalizia ziara ya Kiambu mjini Kiambu majira ya jioni. Msafara huu utazuru kote nchini kuadhimisha miaka minane ya Viusasa na kuwazawadi wapenzi wa Viusasa ambao wamekuwa wakitazama vi