Back to home

Mwanafunzi alidhulumiwa na polisi Naroosura Narok Kusini

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 29, 2025
3w ago
Rais wa Chama Cha Wanasheria nchini Faith Odhimbo ameongeza sauti yake kutaka haki kwa mwanafunzi wa miaka 17 aliyedhulumiwa na maafisa wa polisi eneo la Naroosura Narok Kusini baada ya madai ya wizi.