Back to home

Wadau Narok Kaskazini wana matumaini kuwa wanafunzi watatia fora

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 27, 2025
3w ago
Mitihani ya Kitaifa inapong’oa nanga rasmi hii leo serikali imeelezea matumai ya habari njema eneo la Narok Kaskazini ambako hakujaripotiwa kesi za mimba kwa watahiniwa ambazo huwa nyingi kila mwaka.