Back to home

Wanafunzi zaidi ya 250 watuzwa kwa kulinda mazingira Voi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
3h ago
Zaidi ya wanafunzi 250 kutoka kaunti saba zinazopakana na mbuga ya wanyamapori ya Tsavo wametuzwa kutokana na mchango wao wa kuhifadhi mazingira sawa na wanyamapori.