Back to home

Msafara wa jipange na Viusasa umeingia katika kaunti ya Kiambu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 29, 2025
6h ago
Msafara Wa jipange Na Viusasa umeingia eneo la Kati, Msafara ukivutia umati mkubwa Wa wakazi mjini Limuru licha YA manyunyu YA mvua. Msafara unazuru miji Na vijiji kaunti ya Kiambu na tamati itakuwa majira ya jioni mjini Kiambu. Msafara Huu utazuru kote nchini kuadhimisha miaka m