Back to home
Wahadhiri wasema hakuna masomo yanayoendelea vyuoni huku mgomo ukiingia siku ya 43
video
C
Citizen TV (Youtube)October 29, 2025
22h ago
Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini wanashikilia kuwa hakuna masomo yanayoendelea kwenye vyuo licha ya serikali kusema kuwa yanaendelea katika taasisi nyingi nchini. Muungano wa wahadhiri uasu ukishikilia kuwa hakuna wahadhiri wake waliorudi shuleni huku mgomo wao ukiingia siku ya 43.
University Lecturers' Strike Enters 43rd Day Amid Student Protests - October 2025
The strike by university lecturers in Kenya has entered its 43rd day, with lecturers maintaining that no classes are ongoing in colleges. This statement contradicts the government's assertion that learning continues in most institutions. The Universities' Academic Staff Union (UASU) has reaffirmed that the strike will continue, despite the government's agreement to pay Ksh 7.9 billion. In response, students from TUM University in Mombasa County staged peaceful protests. The students complained about the government's silence, stating the situation is denying them their right to education.
Wahadhiri wasisitiza kuwa mgomo wao hautasitishwa
Citizen TV (Youtube)
Video
Wanafunzi wataka serikali itatue mgomo wa wahadhiri
Citizen TV (Youtube)
Video
3 stories in this topic
View Full Coverage





