Back to home

Mahakama yasema tume ya huduma za polisi haina uwezo kuwapandisha cheo maafisa wa polisi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
7h ago
Tume ya huduma za polisi haina uwezo kuwapandisha cheo wala kuwafuta kazi maafisa wa polisi. Huu ni uamuzi wa Jaji wa mahakama ya ajira Hellen Wasilwa aliyebatilishwa tangazo la tume ya huduma za polisi kuhusu usajili wa makurutu wa polisi