Back to home

Serikali yalenga kuboresha miundo msingi bandarini Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
9h ago
Serikali inalenga kuboresha miundo mbinu katika sekta ya uchukuzi kama njia moja wapo ya kupiga jeki sekta hiyo na ile ya uchumi wa taifa. Bandari ya Mombasa pamoja na barabara kuu zinazounganisha Kenya na mataifa ya ukanda wa Afrika Mashariki zikilengwa zaidi ili kupanua uchumi