Back to home

Washukiwa watano wa ulaghai wa bima ya SHA washtakiwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
7h ago
Washukiwa watano, akiwemo aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa mamlaka ya SHA Robert Ingasira wamefikishwa mahakamani kwa madai ya kutapeli mlipa ushuru zaidi ya shilingi milioni 17.6