Back to home
Serikali yaweka taa za sola katika soko la Nambale, Busia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 30, 2025
6h ago
Biashara katika soko la Nambale kaunti ya Busia zinatarajiwa kuimarika maradufu baada ya soko hilo kupata taa za barabarani. Wafanyabiashara sokoni humo hasa wanawake wanasema wamekuwa wakihangaishwa na wahalifu giza linapoingia, kadhia ambayo sasa inatarajiwa kupungua au hata ku




