Back to home

Baadhi ya viongozi wa Magharibi wazuru kaburi la Raila

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
4h ago
Baadhi ya viongozi kutoka kaunti za Magharibi mwa Kenya, pamoja na Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, walizuru boma la hayati Raila Odinga ili kutoa heshima zao za mwisho.