Back to home
Simba Arati asema Ruto hatapewa tiketi ya ODM moja kwa moja, ahamasisha viongozi kuunga ODM 2027
video
C
Citizen TV (Youtube)October 30, 2025
5h ago
Naibu kinara wa chama cha ODM Simba Arati sasa anasema Rais William Ruto atalazimika kupambania tikiti ya urais ya chama cha ODM pamoja na wagombea wengine na hatapewa tiketi ya moja kwa moja. Akizungumza katika mkutano wa wajumbe wa ODM wa Nairobi, Arati pia aliwataka viongozi w





