Back to home

Ruto aahidi kushinda upinzani kwenye uchaguzi ujao, asema siyo rahisi kwao 2027

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
5h ago
Rais William Ruto ameuza sera katika kaunti ya Kakamega akiwaahidi kichapo viongozi wa upinzani ambao wanamezea mate kiti cha urais mwaka wa 2027