Back to home

Kaunti yashirikiana na serikali kuu kutoa chanjo ya polio Taita Taveta

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
6h ago
Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inasema itashirikiana na serikali kuu ili kutoa chanjo ya ugonjwa Polio licha ya ugonjwa huo kupungua kwa kiasi kikubwa kutokana na harakati zilizofanywa hapo awali.