Back to home

Mashindano ya kwanza barani Afrika ya mapishi ya Kichina na Kiafrika yataandaliwa Kenya

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
6h ago
Kenya imekuwa mwenyeji wa mashindano ya kwanza barani Afrika ya mapishi ya Kichina na Kiafrika, hafla iliyowaleta pamoja wapishi mahiri kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika.