Back to home

Familia za waathiriwa wa mauaji wa Shakahola zinapokea miili ya jamaa zao

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
6h ago
Familia za waathiriwa wa mauaji ya Shakahola zimeendelea kupokea miili ya wapendwa wao katika makafani ya malindi. Baada ya kusubiri kwa miaka miwili familia moja ilipokea miili minne . Hadi sasa, maiti 16 zimekabidhiwa familia ambazo sasa zinaendelea na maandalizi ya mazishi. Ai