Back to home
Operesheni ya usalama Maliza Uhalifu imeongezwa muda katika Msitu wa Mukogodo
video
C
Citizen TV (Youtube)October 31, 2025
8h ago
Operesheni ya usalama Maliza Uhalifu imeongezwa muda katika Msitu wa Mukogodo, huku awamu mpya ikizinduliwa eneo la Kirimon, Laikipia Kaskazini, kwa lengo la kuwasaka na kuwatoa majangili waliokuwa wakijificha msituni




