Back to home

Uhifadhi wa misitu ya mikoko Pwani

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
8h ago
Kundi la wahifadhi wa mazingira ya fuo za kusini mwa Pwani limeshikilia kwamba marufuku ya ukataji wa miti aina ya mikoko ingalipo na watazidi kuitekeleza.