Back to home

Ujenzi wa makao makuu ya kituo cha uhifadhi wa mbuga Taita Taveta wakwama

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Muungano wa wanamazingira ya Taita Taveta Wildlife Conservancies Association (TTWCA) hawakusazwa baada ya ufadhili ya zaidi ya milioni 50 ya kujenga makao makuu ya shirika hilo kukatizwa ghafla kabla ya ujezi huo kukamilika. Hata hivyo wanashirika hilo wameamua kuskuma gurudumu h