Back to home
Serikali kuu yarejesha usimamizi wa Mbuga ya Amboseli kwenye kaunti ya Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)October 31, 2025
7h ago
Siku Chache baada ya wizara ya Utalii kuchapisha mchakato wa kuhamisha mbuga ya Kitaifa ya Amboseli hadi Kwa serikali ya Kajiado kwenye gazeti Rasmi la Serikali , Bunge la Kajiado Kajiado linatarajiwa kuwasilisha mswada huo kwenye vikao vya bunge Mshinani juma lijalo katika eneo 






