Back to home

Wakulima wa chai waunga mkono ukaguzi wa mahesabu ya viwanda katika Kaunti ya Kericho

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
7h ago
Wakulima wa majani chai wa viwanda wa Tegat na Toror katika Kaunti ya Kericho wameunga mkono hatua ya kuitisha ukaguzi wa mahesabu wa viwanda vya KTDA kote nchini.