Back to home
Polisi Kitake waanzisha uchunguzi wa kutweka kwa Caroline Mokera
video
C
Citizen TV (Youtube)October 31, 2025
6h ago
Polisi wanachunguza taarifa za mawasiliano za mshukiwa mkuu ili kutanzua kitendawili cha kutoweka kwa mhasibu wa Chuo cha Uuguzi cha Kapenguria, Caroline Mokeira, aliyepotea katika njia ya kutatanisha mjini Kitale wiki mbili zilizopita. Maafisa kutoka Kitengo cha Upelelezi wa Jin





