Back to home
Familia ya Caroline Mokeira inamtafuta baada ya kutoweka kwake
video
C
Citizen TV (Youtube)November 1, 2025
5d ago
Familia ya Caroline Mokeira, mama wa watoto watatu kutoka Kitale, aliyetoweka wiki mbili zilizopita inaitaka polisi kuharakisha uchunguzi ili kuvumbua kitendawili kuhusu aliko binti yao.




