Back to home
Ligi ya wanaume ya voliboli inaanza kwa mechi zenye ushindani mkali Kasarani
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
1h ago
Timu kumi na mbili zilijitosa ukumbini hii leo wakati ligi ya wanaume ya shirikisho la voliboli la kenya likianza tena na mechi sita kwenye ukumbi wa mazoezi wa ndani wa Kasarani. Mechi mbili za mwanzo ziliwapa mashabiki burudani tele zikiisha na matokeo sawa ya seti 3-2.





