Back to home

Wasimamizi wa mtihani waonywa dhidi ya udanganyifu wa mtihani wa KCSE Migori

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 3, 2025
6h ago
Watainiwa zaidi ya 31,627 katika kaunti ya Migori wameanza mtihani wa KCSE asubuhi ya leo huku maafisa wanaosimamia mtihani huo wakieleza kuwa mikakati kabambe imewekwa kudhibiti udanganyifu......