Back to home

Gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu azungumza katika Soko jipya la mifugo Mulot

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 3, 2025
6h ago
Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu ameelezea matumaini kuwa ukusanyaji ushuru katika soko jipya la mifugo la Mulot utafika shilingi elfu 150 kwa siku.