Back to home

Shakahola Nyingine? Polisi waokoa waumini 27 Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 3, 2025
8h ago
Maafisa wa polisi mjini Mombasa wanawazuilia watu 27 kwa tuhuma za kushiriki imani potovu. Kamanda wa polisi eneo la changamwe Gogo Patrick anasema washukiwa walipatikana baada ya mama mmoja na wanawe kutoroka na kutoa habari kuhusu yaliyokuwa yakiendelea.