Back to home

Waziri wa afya azindua shehena ya vifaa vya oksijeni katika hospitali zote nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 4, 2025
4h ago
Waziri wa Afya Aden Duale amezindua rasmi shehena kubwa ya vifaa vya oksijeni chini ya mpango wa Global Fund wa kukabiliana na COVID-19