Back to home

EACC kuandaa mafunzo ya kukabiliana na ufisadi Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 4, 2025
5h ago
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini (EACC) imepanga kuandaa mafunzo ya jinsi ya kupambana na ufisadi kwa vijana wa vyuo vya ufundi, wafanyabiashara na wahudumu wa bodaboda katika kaunti ya Kwale.