Back to home

Muungano wa wanawake wataka amani Turkana-Pokot

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
3h ago
Muungano wa wanawake Kaunti ya Turkana chini ya mwavuli wa 'Voice of the women' wamejitokeza na kukashifu mauaji ya kila mara kwenye mpaka wa Kaunti za Turkana na Pokot Magharibi .