Back to home

Korti yaanzisha mahakama tamba kuwafikia mashahidi Tana River

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
2h ago
Kuchelewa kwa kesi nyingi za watoto katika mahakama ya Hola kaunti ya Tana River kumechangiwa pakubwa na mashahidi kukosa kujitokeza kutoa ushahidi wao .