Back to home
Msafara wa Jipange na Viusasa waelekea kaunti za Magharibi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 5, 2025
2h ago
Msafara wa Jipange na Viusasa kwa ushirikiano na Royal Media Services umeingia ukanda wa Magharibi, ambapo wakazi wa Kaunti ya Kakamega wanayo fursa ya kipekee kukutana
mashinani na watangazaji nguli wa Radio Citizen na Mulembe FM, idhaa zinazotawala mawimbi ya utangazaji maghar





