Back to home
Nandi yashirikiana na Gersthofen City Youth Orchestra ya Ujerumani kuandaa tamasha ya kitamaduni
video
C
Citizen TV (Youtube)November 5, 2025
3h ago
Kaunti ya Nandi kwa ushirikiano na Gersthofen City Youth Orchestra kutoka Ujerumani, imeandaa tamasha ya kitamaduni ili kuimarisha uhusiano kati ya jamii hizo mbili.




