Back to home
Idara ya mifugo yatoa vifaranga kwa makundi ya wanawake katika kaunti ya Kitui
video
C
Citizen TV (Youtube)November 5, 2025
3h ago
Vikundi tofauti tofauti 64 katika kaunti ya Kitui vimepokea vifaranga 6,400 kutoka kwa idara ya mifugo ili kuinua biashara zao za ufugaji wa kuku.




