Back to home

Kilimo biashara | Upandikizaji wa miche ya mikalatusi Karura unalenga kuongeza uzalishaji endelevu

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
1w ago
Teknolojia ya upandikizaji inatumiwa kuzalisha mamilioni ya miche ya mikalatusi karibu na Msitu wa Karura ulioko jijini Nairobi. Ubunifu huu unalenga kuongeza natija endelevu katika sekta ya misitu