Back to home

Huzuni ilitanda Muyeye, Malindi katika mazishi ya aliyekuwa afisa wa GSU Isaac Ngala

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Huzuni ilitanda katika Kijiji cha Muyeye eneo bunge Malindi wakati wa mazishi ya aliyekuwa afisa wa GSU Isaac Ngala aliyeaga dunia katika msitu wa Shakahola miaka miwili iliyopita.